Isaya 44:22
Isaya 44:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeyafagilia mbali makosa yako kama wingu, nimezifanya dhambi zako zitoweke kama ukungu. Rudi kwangu maana mimi nimekukomboa.”
Shirikisha
Soma Isaya 44Isaya 44:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeyafuta makosa yako kama wingu zito, na dhambi zako kama wingu; unirudie; maana nimekukomboa.
Shirikisha
Soma Isaya 44