Isaya 43:6-7
Isaya 43:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitaiambia kaskazini, ‘Waache waondoke’, na kusini, ‘Usiwazuie’! Warudisheni watu kutoka mbali, kutoka kila mahali duniani. Kila mmoja hujulikana kwa jina langu, niliwaumba wote na kuwafanya kwa ajili ya utukufu wangu.”
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nitaiambia kaskazi, Toa; nayo kusi, Usizuie; waleteni wana wangu kutoka mbali, na binti zangu kutoka miisho ya dunia. Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 43