Isaya 43:5
Isaya 43:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiogope maana mimi nipo pamoja nanyi. “Nitawarudisha wazawa wenu toka mashariki, nitawakusanyeni kutoka magharibi.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi
Shirikisha
Soma Isaya 43