Isaya 43:25
Isaya 43:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Walakini mimi ndimi niliyefuta makosa yenu kwa heshima yangu, ndimi niyafutaye makosa kwa ajili yangu mwenyewe, na wala sitazikumbuka dhambi zenu.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.
Shirikisha
Soma Isaya 43