Isaya 43:13
Isaya 43:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni Mungu na nitakuwa Mungu daima. Hakuna awezaye kuiepa nguvu yangu; hakuna awezaye kupinga ninayofanya.”
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, tangu siku ya leo, mimi ndiye; wala hakuna awezaye kuokoa katika mkono wangu; mimi nitatenda kazi, naye ni nani awezaye kuizuia?
Shirikisha
Soma Isaya 43