Isaya 41:4
Isaya 41:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani aliyefanya yote haya yatendeke? Ni nani aliyepanga wakati wa kila tukio? Mimi Mwenyezi-Mungu nipo tangu mwanzo, mimi nitakuwapo hata milele.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani aliyetenda na kufanya jambo hilo, aviitaye vizazi tangu mwanzo? Mimi, BWANA, wa kwanza na wa mwisho, mimi ndiye.
Shirikisha
Soma Isaya 41