Isaya 40:31
Isaya 40:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wote wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu, watapata nguvu mpya. Watapanda juu kwa mabawa kama tai; watakimbia bila kuchoka; watatembea bila kulegea.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
Shirikisha
Soma Isaya 40