Isaya 4:2
Isaya 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ile, tawi atakalochipusha Mwenyezi-Mungu litakuwa zuri na tukufu, nayo matunda ya nchi yatakuwa ya fahari na utukufu kwa wale Waisraeli watakaosalia. Waisraeli watakaobaki watayaonea fahari na kujivunia mazao ya nchi yao.
Shirikisha
Soma Isaya 4Isaya 4:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku hiyo chipukizi la BWANA litakuwa zuri, lenye utukufu, na matunda ya nchi yatakuwa mema sana, na kupendeza, kwa ajili ya Waisraeli wale waliookoka.
Shirikisha
Soma Isaya 4