Isaya 4:1
Isaya 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Shirikisha
Soma Isaya 4Isaya 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Shirikisha
Soma Isaya 4