Isaya 38:5
Isaya 38:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nenda ukamwambie Hezekia, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa baba yako Daudi, anasema hivi: Nimesikia ombi lako na nimeyaona machozi yako. Basi, nakuongezea miaka kumi na mitano ya kuishi.
Shirikisha
Soma Isaya 38Isaya 38:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nenda ukamwambie Hezekia, BWANA, Mungu wa Daudi, baba yako, asema hivi, Mimi nimeyasikia maombi yako, nimeyaona machozi yako; tazama, nitaziongeza siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano.
Shirikisha
Soma Isaya 38