Isaya 38:20
Isaya 38:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA yu tayari kunipa wokovu. Basi, kwa vinubi tutaziimba nyimbo zangu, Siku zote za maisha yetu nyumbani mwa BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 38Isaya 38:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA ataniokoa, nasi tutaimba kwa vyombo vya nyuzi siku zote za maisha yetu katika Hekalu la BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 38