Isaya 38:16
Isaya 38:16 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ee Bwana, Sisi twaishi kutokana na yote uliyotenda, kwa hayo yote mimi binafsi pia ninaishi. Nirudishie afya, uniwezeshe kuishi.
Shirikisha
Soma Isaya 38Isaya 38:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi; Na uhai wa roho yangu u katika hayo yote; Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.
Shirikisha
Soma Isaya 38