Isaya 38:14
Isaya 38:14 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ninalia kama mbayuwayu, nasononeka kama njiwa. Macho yangu yamefifia kwa kuangalia juu. Ee Bwana, nateseka; uwe wewe usalama wangu!
Shirikisha
Soma Isaya 38Isaya 38:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama mbayuwayu au korongo ndivyo nilivyolia; Niliomboleza kama hua; macho yangu yamedhoofu kwa kutazama juu; Ee BWANA, nimeonewa, na uwe mdhamini wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 38