Isaya 36:21
Isaya 36:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini watu walinyamaza, wala hawakumjibu neno kama vile walivyoamriwa na mfalme akisema, “Msimjibu.”
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini watu wakanyamaza kimya; wala hawakumjibu hata neno moja; maana ilikuwa amri ya mfalme, kwamba, Msimjibu neno.
Shirikisha
Soma Isaya 36