Isaya 36:1
Isaya 36:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnamo mwaka wa kumi na nne wa utawala wa mfalme Hezekia, mfalme Senakeribu wa Ashuru aliishambulia miji yote yenye ngome ya Yuda na kuiteka.
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, katika mwaka wa kumi na nne wa kutawala kwake mfalme Hezekia, Senakeribu, mfalme wa Ashuru, akapanda ili kupigana na miji yote ya Yuda yenye boma, akaitwaa.
Shirikisha
Soma Isaya 36