Isaya 35:7
Isaya 35:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mchanga wa moto jangwani utakuwa bwawa la maji, ardhi kavu itabubujika vijito vya maji. Makao ya mbwamwitu yatajaa maji; nyasi zitamea na kukua kama mianzi.
Shirikisha
Soma Isaya 35Isaya 35:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mchanga ung'aao mfano wa maji utakuwa ziwa la maji, na nchi yenye kiu itakuwa chemchemi za maji; katika makao ya mbweha, walipokuwa wamelala, patakuwa na majani, pamoja na mianzi na manyasi.
Shirikisha
Soma Isaya 35