Isaya 35:6
Isaya 35:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Walemavu watarukaruka kama paa, na bubu wataimba kwa furaha. Maji yatabubujika nyikani na vijito vya maji jangwani.
Shirikisha
Soma Isaya 35Isaya 35:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo mtu aliye kilema atarukaruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Shirikisha
Soma Isaya 35