Isaya 35:3-4
Isaya 35:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Imarisheni mikono yenu dhaifu, kazeni magoti yenu manyonge. Waambieni waliokufa moyo: “Jipeni moyo, msiogope! Tazameni Mungu wenu atakuja kulipiza kisasi, atakuja kuwaadhibu maadui zenu; atakuja yeye mwenyewe kuwaokoeni.”
Shirikisha
Soma Isaya 35Isaya 35:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yaimarisheni magoti yaliyolegea. Waambieni walio na moyo wa hofu, Jipeni moyo, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi.
Shirikisha
Soma Isaya 35