Isaya 30:8
Isaya 30:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu aliniambia: “Sasa chukua kibao cha kuandikia, uandike jambo hili mbele yao, liwe ushahidi wa milele
Shirikisha
Soma Isaya 30Isaya 30:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya, nenda sasa, andika neno hili katika kibao mbele ya macho yao, lichore katika kitabu ili liwe kwa ajili ya majira yatakayokuja, kwa ushuhuda hata milele.
Shirikisha
Soma Isaya 30