Isaya 3:10
Isaya 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Waambieni waadilifu jinsi walivyo na bahati: Kwani watakula matunda ya matendo yao.
Shirikisha
Soma Isaya 3Isaya 3:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waambieni wenye haki ya kuwa watakuwa heri, kwa maana watakula matunda ya matendo yao
Shirikisha
Soma Isaya 3