Isaya 26:3-4
Isaya 26:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mungu, wawaweka katika amani walio thabiti, wawaweka katika amani kwa kuwa wanakutegemea. Mtumaini Mwenyezi-Mungu siku zote kwa maana yeye ni mwamba wa usalama milele.
Shirikisha
Soma Isaya 26Isaya 26:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini. Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.
Shirikisha
Soma Isaya 26Isaya 26:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini. Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.
Shirikisha
Soma Isaya 26