Isaya 26:3
Isaya 26:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mungu, wawaweka katika amani walio thabiti, wawaweka katika amani kwa kuwa wanakutegemea.
Shirikisha
Soma Isaya 26Isaya 26:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini.
Shirikisha
Soma Isaya 26Isaya 26:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini.
Shirikisha
Soma Isaya 26