Isaya 23:9
Isaya 23:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Yeye ndiye aliyeyapanga haya yote. Alifanya hivyo akiharibu kiburi chao na kuwaaibisha waheshimiwa wake.
Shirikisha
Soma Isaya 23Isaya 23:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA wa majeshi ndiye aliyefanya shauri hili, ili kuharibu kiburi cha utukufu wote, na kuwaaibisha watu wa duniani wote pia.
Shirikisha
Soma Isaya 23