Isaya 2:3
Isaya 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
watu wengi wataujia na kusema, “Njoni tupande mlima wa Mwenyezi-Mungu, twende nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, apate kutufundisha njia zake, nasi tuishi kadiri ya mwongozo wake. Maana sheria itakuja kutoka Siyoni; neno la Mwenyezi-Mungu kutoka Yerusalemu.”
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa BWANA, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la BWANA katika Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 2