Isaya 2:22
Isaya 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Usimwamini binadamu, uhai wake haudumu kama pumzi. Yeye anafaa kitu gani?
Shirikisha
Soma Isaya 2Isaya 2:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake iko katika mianzi ya pua yake; kwa maana wanafaa kitu gani?
Shirikisha
Soma Isaya 2