Isaya 12:6
Isaya 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Pazeni sauti na kuimba kwa furaha, enyi wakazi wa Siyoni, maana aliye mkuu miongoni mwenu ndiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.”
Shirikisha
Soma Isaya 12Isaya 12:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Shirikisha
Soma Isaya 12