Isaya 11:1
Isaya 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutatokea chipukizi katika kisiki cha Yese, tawi litachipua mizizini mwake.
Shirikisha
Soma Isaya 11Isaya 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi litatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda.
Shirikisha
Soma Isaya 11