Hosea 6:6
Hosea 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana ninachotaka kwenu ni upendo na si tambiko, Kumjua Mungu na si kutoa sadaka za kuteketezwa.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.
Shirikisha
Soma Hosea 6