Hosea 5:15
Hosea 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitarudi mahali pangu na kujitenga nao mpaka wakiri kosa lao na kunirudia. Taabu zao zitawafundisha wanitafute, wakisema
Shirikisha
Soma Hosea 5Hosea 5:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakwenda zangu niparudie mahali pangu, hata watakapoungama makosa yao na kunitafuta uso wangu; katika taabu yao watanitafuta kwa bidii.
Shirikisha
Soma Hosea 5