Hosea 3:5
Hosea 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye, Waisraeli watarudi na kumtafuta Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, na kumtafuta mfalme wao, mzawa wa Daudi. Ndipo watakapomcha Mwenyezi-Mungu, na kutazamia wema wake siku za mwisho.
Shirikisha
Soma Hosea 3Hosea 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
baada ya hayo wana wa Israeli watarejea, na kumtafuta BWANA, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao; nao watamwendea BWANA na wema wake kwa kicho siku za mwisho.
Shirikisha
Soma Hosea 3