Hosea 2:19-20
Hosea 2:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakufanya mke wangu milele; uwe wangu kwa uaminifu na haki, kwa fadhili na huruma. Naam, nitakuposa kwa uaminifu, nawe utanijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitakuposa uwe wangu wa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema. Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua BWANA.
Shirikisha
Soma Hosea 2