Hosea 12:6
Hosea 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake. Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu. Zingatieni upendo na haki, mtumainieni Mungu wenu daima.
Shirikisha
Soma Hosea 12Hosea 12:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, mrudie Mungu wako; shika fadhili na hukumu; ukamngojee Mungu wako daima.
Shirikisha
Soma Hosea 12