Hosea 1:7
Hosea 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nitawahurumia watu wa Yuda na kuwaokoa. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, nitawaokoa, lakini si kwa nguvu za kijeshi, au pinde, au panga, au farasi au wapandafarasi.”
Shirikisha
Soma Hosea 1Hosea 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini nitairehemu nyumba ya Yuda; nitawaokoa kwa BWANA, Mungu wao; wala sitawaokoa kwa upinde, wala kwa upanga, wala kwa silaha, wala kwa farasi, wala kwa wapanda farasi.
Shirikisha
Soma Hosea 1