Waebrania 5:7
Waebrania 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipokuwa anaishi hapa duniani, kwa kilio kikuu na machozi, alisali na kumwomba Mungu ambaye alikuwa na uwezo wa kumwokoa kifoni; naye alisikilizwa kwa sababu ya kumcha Mungu.
Shirikisha
Soma Waebrania 5Waebrania 5:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu
Shirikisha
Soma Waebrania 5