Waebrania 5:14
Waebrania 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini chakula kigumu ni kwa ajili ya watu waliokomaa, waliofunzwa kwa vitendo kubainisha mema na mabaya.
Shirikisha
Soma Waebrania 5Waebrania 5:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoeshwa kupambanua mema na mabaya.
Shirikisha
Soma Waebrania 5