Waebrania 4:10
Waebrania 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, kila aingiaye mahali pa pumziko la Mungu atapumzika kutoka katika kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika kutoka kazi yake.
Shirikisha
Soma Waebrania 4Waebrania 4:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana yeye aliyeingia katika pumziko lake amepumzika mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyopumzika katika kazi zake.
Shirikisha
Soma Waebrania 4Waebrania 4:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.
Shirikisha
Soma Waebrania 4