Waebrania 2:1
Waebrania 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo tunapaswa kuzingatia kwa makini yote tuliyosikia, tusije tukayakosa.
Shirikisha
Soma Waebrania 2Waebrania 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo imetupasa kuyaangalia zaidi hayo tuliyoyasikia tusije tukayakosa.
Shirikisha
Soma Waebrania 2