Waebrania 13:1-2
Waebrania 13:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Endeleeni kupendana kindugu. Msisahau kuwakaribisha wageni; maana kwa kufanya hivyo watu wengine walipata kuwakaribisha malaika bila kujua.
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Upendano wa ndugu na udumu. Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.
Shirikisha
Soma Waebrania 13