Waebrania 12:3
Waebrania 12:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Fikirini juu ya mambo yaliyompata Yesu, jinsi alivyostahimili upinzani mkubwa kwa watu wenye dhambi. Basi, msife moyo, wala msikate tamaa.
Shirikisha
Soma Waebrania 12Waebrania 12:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mtafakarini sana yeye aliyeyastahimili upinzani mkuu namna hii ya watendao dhambi juu ya nafsi zao, msije mkachoka, mkizimia mioyoni mwenu.
Shirikisha
Soma Waebrania 12