Waebrania 12:24
Waebrania 12:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmefika kwa Yesu ambaye ni mpatanishi katika agano jipya, na ambaye damu yake iliyomwagika inasema mambo mema kuliko ile ya Abeli.
Shirikisha
Soma Waebrania 12Waebrania 12:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.
Shirikisha
Soma Waebrania 12