Waebrania 12:22
Waebrania 12:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi
Shirikisha
Soma Waebrania 12Waebrania 12:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi mmefika katika mlima wa Siyoni, kwenye mji wa Mungu aliye hai. Mmefika Yerusalemu, mji wa mbinguni, ambapo wamekusanyika malaika kwa maelfu.
Shirikisha
Soma Waebrania 12