Waebrania 12:16
Waebrania 12:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Jihadharini ili miongoni mwenu pasiwe na mtu mwasherati au mtu asiyemcha Mungu kama Esau, aliyeuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa mlo mmoja.
Shirikisha
Soma Waebrania 12Waebrania 12:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Asiwepo mwasherati wala asiyemcha Mungu, kama Esau, aliyeuuza urithi wake wa mzaliwa wa kwanza kwa ajili ya chakula kimoja.
Shirikisha
Soma Waebrania 12