Waebrania 11:32
Waebrania 11:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, niseme nini zaidi? Wakati hauniruhusu kueleza juu ya Gideoni, Baraki, Samsoni, Yeftha, Daudi, Samueli na manabii.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami niseme nini tena? Maana wakati usingenitosha kuleta habari za Gideoni na Baraka na Samsoni na Yeftha na Daudi na Samweli na za manabii
Shirikisha
Soma Waebrania 11