Waebrania 11:16
Waebrania 11:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa wanataka nchi iliyo bora zaidi, yaani nchi ya mbinguni. Ndio maana Mungu haoni haya wakimwita yeye Mungu wao, kwa sababu yeye mwenyewe amekwisha watayarishia mji.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sasa wanaitamani nchi iliyo bora, yaani, ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni haya kuitwa Mungu wao; maana amewatengenezea mji.
Shirikisha
Soma Waebrania 11