Waebrania 11:11
Waebrania 11:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani hata Sara aliamini kwamba Mungu hutimiza ahadi zake, kwa hiyo akajaliwa kuchukua mimba ingawaje alikuwa amepita umri.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani hata Sara mwenyewe alipokea uwezo wa kuwa na mimba; alipokuwa amepita wakati wake; kwa kuwa alimhesabu yeye aliyeahidi kuwa mwaminifu.
Shirikisha
Soma Waebrania 11