Waebrania 11:1
Waebrania 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni kusadiki mambo yasiyoonekana.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Shirikisha
Soma Waebrania 11