Habakuki 1:5
Habakuki 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akasema: “Yaangalie mataifa, uone! Utastaajabu na kushangaa. Maana ninatenda kitu ukiwa bado unaishi, kitu ambacho ungeambiwa hungesadiki.
Shirikisha
Soma Habakuki 1Habakuki 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni, enyi mlio kati ya mataifa, katazameni, kastaajabuni sana; kwa maana mimi natenda tendo siku zenu, ambalo hamtaliamini hata mkiambiwa.
Shirikisha
Soma Habakuki 1