Habakuki 1:4
Habakuki 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo sheria haina nguvu, wala haki haitekelezwi. Waovu wanawazunguka waadilifu, hivyo hukumu hutolewa ikiwa imepotoshwa.”
Shirikisha
Soma Habakuki 1Habakuki 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu haipatikani; kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki; kwa sababu hiyo hukumu inayotolewa huwa imepotoshwa.
Shirikisha
Soma Habakuki 1