Habakuki 1:2
Habakuki 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ee Mwenyezi-Mungu, nitakulilia mpaka lini, nawe usinisikilize na kunisaidia? Kwa nini nalia: ‘Dhuluma’ nawe hutuokoi?
Shirikisha
Soma Habakuki 1Habakuki 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, nilie hadi lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa.
Shirikisha
Soma Habakuki 1