Habakuki 1:12
Habakuki 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Je, wewe si ndiwe Mwenyezi-Mungu, tangu kale na kale? Wewe ndiwe Mungu wangu, Mtakatifu wangu, usiyekufa Ee Mwenyezi-Mungu, umewateua Wakaldayo watuhukumu; Ewe Mwamba, umewaimarisha ili watuadhibu!
Shirikisha
Soma Habakuki 1Habakuki 1:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee BWANA, je, wewe sio wa tangu milele? Mungu wangu, Uliye Mtakatifu wangu, hatutakufa. Ee BWANA, umewachagua wao ili watekeleze hukumu; Ee Mwamba, umewaamuru watuadhibu.
Shirikisha
Soma Habakuki 1